December 26, 2012

Salaaam za Xmass na Mwaka Mpya kwa wadau wetu

Uongozi wa www.ngarakwetu.blogspot.com, un apenda kuwatakia kila lakheri wadau wake katika sikukuu hii ya Krimas na Mwaka mpya.

Tunapenda kuwashukuru kwa ushirikiano mkubwa mlioonesha kwa mwaka 2012. tunaamini pia ushirikiano huo utapatikana kwa mwaka 2013. ahadi yetu kwako ni kuendelea kukuletea habari,matukio na picha mbali mbali.

Mungu awabariki, kwa lolote tafadhali usisite kuwasiliana nasi kwa simu no. 0756432748,0682477197 na 0713455929
au barua pepe:-juveilla@gmail.com
       TUNAWATAKIA MWAKA MPYA WENYE MAFANIKIO

No comments:

Post a Comment