Rais
Jakaya Kikwete akimkabidhi tuzo Mke wake Mama Salma Kikwete ambaye ni
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA kwa kutambua mchango wa taasisi hiyo
katika mapambano ya Ukimwi wakati wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi
duniani ambayo kitaifa iliadhimishwa mkoani Lindi kwenye uwanja wa
Ilulu na kushirikisha wadau mbalimbali wanaopambana na janga la ugonjwa
wa ukimwi, kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Lindi Ludovick Mwananzila.
|
No comments:
Post a Comment