May 20, 2013

VODA COM KAZI NI KWAKO!

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (katikati) akiongea na mshindi wa droo kubwa ya "MAHELA" Valerian Nickodemus (22) (kulia) baada ya kuwasili katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma kuja kukabidhiwa fedha zake taslimu hivi karibuni Sh. milioni 100. Anayeshuhudia kushoto ni mmoja wa wafanyakazi wa kituo cha mabasi Ubungo

Add caption

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kushoto) akiongozana na mshindi wa droo kubwa ya "MAHELA" Valerian Nickodemus (22) (kulia) baada ya kuwasili katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma kuja kukabidhiwa fedha zake taslimu hivi karibuni Sh. milioni 100.

Mshindi wa droo kubwa ya "MAHELA", Valerian Nickodemus (kushoto) akimsikiliza kwa umakini mwandishi wa habari wa ITV Emanuel Buhohela mara baada ya kuwasili katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma mahususi kwa ajili ya makabidhiano rasmi ya fedha zake Sh. Milioni 100 hivi karibuni. Kulia ni Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu.

Mshindi wa droo kubwa ya "MAHELA", Valerian Nickodemus (katikati) akikaribishwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) mara baada ya kuwasili katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma mahususi kwa ajili ya makabidhiano rasmi ya fedha zake Sh. Milioni 100 hivi karibun

No comments:

Post a Comment