tag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.comments2022-06-05T05:53:52.224-07:00www.ngarakwetu.blogspot.comwww.radiokwizera.co.tzhttp://www.blogger.com/profile/08535665757128404063noreply@blogger.comBlogger28125tag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-7441041871210082232017-04-15T01:11:46.834-07:002017-04-15T01:11:46.834-07:00Naamini wakulima wetu watatumia fursa hii vyema il...Naamini wakulima wetu watatumia fursa hii vyema ili kuinua hali ya kipato cha kaya na familia kwa ujumlaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/13133601728621583252noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-54263774633028506902016-05-20T23:03:59.381-07:002016-05-20T23:03:59.381-07:00 JJ
Saturday,May 21, 2016
KAHAMA
Baadhi ya wa... JJ

Saturday,May 21, 2016

KAHAMA
Baadhi ya wananchi wa Mji wa kahama Mkoani Shinyanga wamekuwa na maoni tofauti kuhusu maamuzi ya Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani Charles Kitwanga huku baadhi wakieleza kuwa tukio hilo litaimarisha nidhamu kwa viongozi wa umma

Wananchi hao wametoa maoni hayo kufuatia Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Ikulu kuwa,Rais amemsimamisha kazi waziri huyo baada ya kubainika kuwa ameingia Bungeni na kujibu swali linalohusu wizara yake huku akiwa amelewa pombe

Mmoja wa wananchi hao Bw.John Bundala amesema kuwa Nidhamu kwa watumishi wa umma ni jambo muhimu hivyo adhabu iliyotolewa kwa waziri wa mambo ya ndani ni fundisho kwa wengine

Kwa upande wake Bi.Magreth Ndalo amesema watumishi wa umma hawanabudi kuwa na nidhamu sasamba na viongozi wa kuchaguliwa,hivyo kitendo kilichotekelezwa na rais ni sehemu ya uwajibikaji kwaajili ya kuimarisha utawala bora.
www.radiokwizera.co.tzhttps://www.blogger.com/profile/08535665757128404063noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-24972565685566180582016-04-03T11:38:43.419-07:002016-04-03T11:38:43.419-07:00Asante mdau dishon kakuluAsante mdau dishon kakuluwww.radiokwizera.co.tzhttps://www.blogger.com/profile/08535665757128404063noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-61517819002139467092015-10-11T23:14:01.055-07:002015-10-11T23:14:01.055-07:00Aksante sana kwa mjumuisho wa matukio yaliyo tokea...Aksante sana kwa mjumuisho wa matukio yaliyo tokea katika dojo la hapo nyumbani, Ni wilaya ya Kibondo iliyokop Mokoani Kigoma ambako nilikuwa mwanafunzi tangu mwaka 2004 mpaka mwaka 2009 chini ya ufundishaji makini wa Sensei Onesmo akishirikiana na Sempai Mniga pamoja na Sempai Issa, kwakweli nakumbuka mbali sana nikiyaona mazingira ya nilikolelewa kwa upendo na umoja wa waalimu wangu, Pongezi pia ziwaendee waalimu wa Shule ya sekondari ya Malagarasi kwakuhakikisha tunajikwamua katika masuala ya kielimu.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/14700601077517558726noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-40855143904942646252015-10-11T23:13:44.970-07:002015-10-11T23:13:44.970-07:00Aksante sana kwa mjumuisho wa matukio yaliyo tokea...Aksante sana kwa mjumuisho wa matukio yaliyo tokea katika dojo la hapo nyumbani, Ni wilaya ya Kibondo iliyokop Mokoani Kigoma ambako nilikuwa mwanafunzi tangu mwaka 2004 mpaka mwaka 2009 chini ya ufundishaji makini wa Sensei Onesmo akishirikiana na Sempai Mniga pamoja na Sempai Issa, kwakweli nakumbuka mbali sana nikiyaona mazingira ya nilikolelewa kwa upendo na umoja wa waalimu wangu, Pongezi pia ziwaendee waalimu wa Shule ya sekondari ya Malagarasi kwakuhakikisha tunajikwamua katika masuala ya kielimu.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/14700601077517558726noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-53313766706114459442015-10-11T23:10:57.520-07:002015-10-11T23:10:57.520-07:00Aksante sana kwa mjumuisho wa matukio yaliyo tokea...Aksante sana kwa mjumuisho wa matukio yaliyo tokea katika dojo la hapo nyumbani, Ni wilaya ya Kibondo iliyokop Mokoani Kigoma ambako nilikuwa mwanafunzi tangu mwaka 2004 mpaka mwaka 2009 chini ya ufundishaji makini wa Sensei Onesmo akishirikiana na Sempai Mniga pamoja na Sempai Issa, kwakweli nakumbuka mbali sana nikiyaona mazingira ya nilikolelewa kwa upendo na umoja wa waalimu wangu, Pongezi pia ziwaendee waalimu wa Shule ya sekondari ya Malagarasi kwakuhakikisha tunajikwamua katika masuala ya kielimu.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/14700601077517558726noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-11487107644234360762015-08-02T02:15:13.382-07:002015-08-02T02:15:13.382-07:00success comes after ten failed attempts.success comes after ten failed attempts.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/15392163106639599560noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-27795278358902394092015-08-02T02:12:55.456-07:002015-08-02T02:12:55.456-07:00success comes after ten failed attempts.
It is tim...success comes after ten failed attempts.
It is time now!Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/15392163106639599560noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-7592020624742943372013-12-30T01:05:26.790-08:002013-12-30T01:05:26.790-08:00Nawapa pole waliofiwa na majeruhi wote mungu ata w...Nawapa pole waliofiwa na majeruhi wote mungu ata wanusuru ,kwakweli ajali hiyo nimiongoni mwa ajali mbaya sana ambazo zime wahi kutokea hapa nchini.je uchunguzi unasemaje juu ya hanzo9 cha ajali hiyo ?Ina skikitisha mno jamani.Hebu uwekwe mnara mahala ambapo ajali hiyo ilipo tokea nimuhimu kwa kumbukumbuza vizazi vijavyo na historia ya sekta ya usafirishaji nchini.au mnasemaje wadau?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-58494774424709036952013-12-06T21:49:50.486-08:002013-12-06T21:49:50.486-08:00NENO: Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.Wazazi jengeni...NENO: Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.Wazazi jengeni tabia ya kufuatilia maendeleo ya wanafunzi,kuwakagua na kuwamotisha Kitaaluma. Hali hiyo itawapa moyo wa kuendelea kufanya Vizuri.
Na,Shaaban Nassib Ndyamuka-www.ngarakwetu.blogspot.com www.radiokwizera.co.tzhttps://www.blogger.com/profile/08535665757128404063noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-49393896487869030622013-11-12T22:35:10.047-08:002013-11-12T22:35:10.047-08:00Asante kwa ufafanuzi.Napenda kufahamu,huyu John Si...Asante kwa ufafanuzi.Napenda kufahamu,huyu John Simon Malanilo ni ndugu yake na Peter Bujari?Na,je kwa jina jingine na yeye anaitwa John Bujari?Nitafurahi kama ndugu yangu mwandishi Juvenali nitapata majibu haya.Maana huyu jamaa kama vile namfahamu alikuwa Mwalimu wangu.Ni mtu makini sana japo nilikuwa bado mdogo,ila alikuwa na haiba ya uongozi na kufahamu mambo.NWAKILISHAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-61096151750157606192013-10-03T13:13:31.290-07:002013-10-03T13:13:31.290-07:00hapa ni jirani na Rusumo?hapa ni jirani na Rusumo?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-28666949140511508952013-06-03T02:17:58.634-07:002013-06-03T02:17:58.634-07:00Poleni sana wana Kigoma Poleni sana wana Kigoma Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/08320253867388431644noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-15573001985296712502013-06-03T02:14:59.070-07:002013-06-03T02:14:59.070-07:00Hii ndo kigoma yetu! full mitope na wahusika ni km...Hii ndo kigoma yetu! full mitope na wahusika ni km hawaoni adha hii kwa wanancchi kwani kipande hicho cha kutoka nyakanazi hadi kigoma kimekuwa ni tataizo kwa muda mrefu bila ufumbuzi wa kiutendaji unaoonekana. Poleni sana ndugu zetu but "SERIKALI YETU NI SIKIVU HIVYO ITALIFANYIA KAZI SUALA HILO MAPEMA IWEZEKANAVYO"Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-55825343394058935242013-03-14T18:41:00.862-07:002013-03-14T18:41:00.862-07:00Nafurahia kupata hii blog!Nilikuwa najaribu kuanga...Nafurahia kupata hii blog!Nilikuwa najaribu kuangalia kama kuna kitu kama hii blog,basi leo nimefurahi kuiona.Asante kwa kutujulisha habari za huko sie tulioko nje ya Ngara.Kila jema na endelea kutujuza mambo ya huko hasa mikakati ya maendeleo mfano,mikutano ya vijiji,Kata,Tarafa,Wilaya na jinsi wanavyopanga maendeleo.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/02957398810777762330noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-5819550567969026132012-12-04T00:33:36.588-08:002012-12-04T00:33:36.588-08:00Duh! Inasikitisha sana. RIP, pole sana mama ulipot...Duh! Inasikitisha sana. RIP, pole sana mama ulipotelewa na mwanao Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-28909747090998465522012-11-24T05:04:47.198-08:002012-11-24T05:04:47.198-08:00Nimependa kakibuyu na tuvikombe, very good kudumis...Nimependa kakibuyu na tuvikombe, very good kudumisha mila. Mdau WilliamAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-26587332936527157282012-11-24T00:55:00.922-08:002012-11-24T00:55:00.922-08:00nawashukuru wote mliotoa comentsnawashukuru wote mliotoa comentswww.radiokwizera.co.tzhttps://www.blogger.com/profile/08535665757128404063noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-24640596661936613512012-11-23T12:07:27.783-08:002012-11-23T12:07:27.783-08:00Mimi ni mfwataji ya mambo ya kisayansi (astronomy....Mimi ni mfwataji ya mambo ya kisayansi (astronomy. Haka kajitu ni kama tenki la mafuta ya rocketi yanayopeleka watu/satelliti binguni. Design yake inaonyesha kuna kevlar spiral fibres kuzuia ipasuke na inaweza kuwa tenki satelliti iliyoanguka kutoka binguni. Tafadhali msisimama karibu sana sababu mafuta ya rocketi (hydrazine) ni mbaya sana kwa afya ya binadamu.

Abraham Samma.
http://mslcuriosityjournal.blogspot.comabsammahttps://www.blogger.com/profile/03142389044655209524noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-5391056965897931892012-11-23T05:33:55.160-08:002012-11-23T05:33:55.160-08:00Au ni king'amuzi mana tunakaribia 31 dec nchi ...Au ni king'amuzi mana tunakaribia 31 dec nchi kuingia digital!? Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-57231508865426917202012-11-23T05:20:50.985-08:002012-11-23T05:20:50.985-08:00Inasikitisha kweli. Tangu jana jioni walipoondoka ...Inasikitisha kweli. Tangu jana jioni walipoondoka wanajeshi wa JWTZ kwa kile kilichoelezwa kuwa kushindwa kukitambua kitu hicho na kwamba wataalam wengine wa jeshi hilo kutoka D'salaam wako njiani inavyoonekana mamlaka husika hazijachukua serious measures kuhakikisha kuwa kitu hicho kinakuwa chini ya uangalizi wa hali ya juu. Ni aibu hata kwa viongozi wa serikali ya mtaa/Kitongoji au ya Kijiji hicho pia kushindwa hata kusimamia tahadhari hiyo. Yaani hata wazazi ambao ni watu wazima wameshindwa kuwazuia watoto wao wasikichezee kitu hicho!? Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-56511996168101108992012-11-07T23:32:09.895-08:002012-11-07T23:32:09.895-08:00yaah hi ni heshima kwa wakazi wa Ngara gooodyaah hi ni heshima kwa wakazi wa Ngara gooodwww.radiokwizera.co.tzhttps://www.blogger.com/profile/08535665757128404063noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-49567064105123586322012-10-31T23:56:10.750-07:002012-10-31T23:56:10.750-07:00yaah hi ni heshima kwa wakazi wa Ngara gooodyaah hi ni heshima kwa wakazi wa Ngara gooodAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-9379684744171867132012-10-31T23:51:43.429-07:002012-10-31T23:51:43.429-07:00ooh waooh my home place nakumbuka sana kukaa kweny...ooh waooh my home place nakumbuka sana kukaa kwenye mkeka nje no self service we enjoy food to gather father mother and children really i miss the place Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6802220564722015833.post-38546941002546628262012-10-29T06:44:48.400-07:002012-10-29T06:44:48.400-07:00Nashukuru sana Mdau Jonas Kizima kwa commentNashukuru sana Mdau Jonas Kizima kwa commentwww.radiokwizera.co.tzhttps://www.blogger.com/profile/08535665757128404063noreply@blogger.com