Miaka 20 iliyopita, tangu tarehe 2 Julai, 1992, Bunge la jamhuri ya
Muungano wa Tanzania
lilipitisha sheria ya kuruhusu kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi.
pamoja na Miaka 20 hivi sasa, tumepiga hatua, lakini, mpaka hii leo, bado upinzani kwa wengine unatafsiriwa kama ni uadui, na wakati mwingine ni uhaini.
pamoja na Miaka 20 hivi sasa, tumepiga hatua, lakini, mpaka hii leo, bado upinzani kwa wengine unatafsiriwa kama ni uadui, na wakati mwingine ni uhaini.
………….Nini maoni yako.? Karibu katika asubuhi njema Radio Kwizera
fm. Studio tuko na Mbunge wa jimbo la Muhambwe Mh. Felix Mkosamali
Sikiliza RK Fm pia kupitia www.radiostationstz.com
No comments:
Post a Comment