 |
Hili ndio Gari
aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha
msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka
jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza mkoa
wa Tanga. Sharo Millionea alikufa papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali
ya Teule Muheza Tanga | |
Wananchi wakifika eneo la Tukio,Baadae mwili wa marehemu ulihifadhiwa katika hospitali teule Muheza
Wananchi wakafurika katika Chumba cha kuhifadhi Maiti katika Hospitali Teule
 |
Mbunge
wa Jimbo la Muheza Hebert Mtangi akiwasili nje ya jengo la Chumba cha
Kuhifadhia Maiti cha Hospitali ya Teule Muheza kwa ajili ya kushuhudia mwili wa
msaniii Sharo Millionea |
No comments:
Post a Comment