Katika mfumo wa maisha aliyoweka mwenyezi Mungu Duniani mojawapo
ni Upendo wa kimwili kati ya Adamu na Hawa (Eva) kuishi pamoja katika maisha ya
ndoa.
Mara baada ya Mungu kutoa kauli ya kwamba nyote ni mwili
mmoja basi uzao wa Adamu na mwezake yaliendelea kuridhiwa hadi leo kama
wanavyoonekana wanandoa hao {Walimu} katika halmashauri ya wilaya ya Ngara
Mohamed Namtimba na Rehema Kabuyoka
 |
Katika send off |
 |
Bw.&Bi harusi Mohamed Namtimba na Bi Rehema Kaboyoka wakati wa Harusi yao |
Pamoja na kufunga pingu za maisha waliambatana na
wasindikizaji wenzao Maalimu Shaaban
Ndyamukama wa shule ya msingi Buhororo na na Mwalimu Flora Elda Reuben Rulahemura wa shule ya msingi Nakatunga wilayani Ngara.
 |
Wapambe wa maharusi, Shaaban Ndyamukama na Flora Elda Reuben Rulahemura wakati wa Send off
|
 |
Wapambe wa maharusi, Shaaban Ndyamukama na Flora Elda Reuben Rulahemura wakati wa Harusi
|
Picha Zaidi wakati wa tukio:-
 |
Mwl. Mohamed Namtimba |
 |
Mwl.Shaaban Ndyamukama wa www.ngarakwetu.blogspot.com |
 |
Maalim Shaaban Nassib Ndyamukama,kulia kwa Bwana Harusi akiomba Dua |
 |
Maharusi na wapambe wao |
Ndoa hii, ilifungishwa na Sheikh wa Wilaya ya Ngara Rajab Abdallah Msabaha katika msikiti wa Mabawe.
No comments:
Post a Comment