Mzee Pius Ngeze akiwa na mwanahabari mkongwe Maggid Mjengwa(napenda sana kumuita Kiongozi) |
Ndugu Wadau
Binafsi naamini na kukubali mawazo yangu kwamba ikiwa tutaunganisha Nguvu kwa pamoja tunaweza, katika kila tunachoamini kuleta maendeleo.
Hili linadhihilishwa na Habari nizilizopata kutoka kwa mdau Jonas Kizima, kwamba KATIKA MAHAFALI YA 28 YALIYOFANYIKA 23 NOVEMBER 2012
MOROGORO CAMPUS YA MAZIMBU KATIKA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO, KILIMTUNUKIA
NDUGU PIUS NGEZE AMBAYE NI MZALIWA WA WILAYA YA NGARA NISHANI YA KUTAMBUA MCHANGO WAKE
MKUBWA KATIKA SEKTA YA KILIMO KWA KUFANIKISHA KUCHAPISHA MACHAPISHO 57
YANAYOELIMISHA KATIKA SEKTA YA KILIMO KWA LUGHA YA KISWAHILI NA KINGEREZA.
No comments:
Post a Comment