Mike Iron Tyson baada ya kumaliza Pambano |
Katika Pose |
Kuna Uvumi kuwa bingwa wa zamani wa
ndondi uzito wa juu, Mike Tyson anadaiwa kubadilisha jinsia yake ya Kiume kuwa
ya kike.
Habari za kufanyiwa upasuaji huyo kwenye hospitali moja mjini, Beverley Hills, Marekani ziliteka mitandao kadhaa ya kijamii
Habari za kufanyiwa upasuaji huyo kwenye hospitali moja mjini, Beverley Hills, Marekani ziliteka mitandao kadhaa ya kijamii
Hata hivyo, habari hizo hazijathibitishwa ramsi ingawa mpaka jana jioni mitandano mingi ya kijamii ilikuwa na taarifa hizo.
Bingwa huyo wa zamani aliyejitaja kama 'Mwanaume mbaya duniani', mzaliwa wa Brooklyn, aliwaambia waandishi wa habari kuwa siku ya kwanza atakayopata hedhi (kuona siku zake) ndiyo itakuwa kamilisho la ndoto yake.
Lakipi pia katika kuhakikisha anakamilisha dhamira yake ya kuwa mwanamke, amesema kuanzia muda huo jina lake ramsi sasa litakuwa Michelle.
"Baadhi ya watu wanaweza kudhani mimi ni mtu wa ajabu kwa sababu sasa ni mwanamke," alisema bingwa huyo wa zamani wa ndondi aliyewahi kuhukumiwa kwa shitaka la Ubakaji
Uvumi huo pia unaeleza kuwa Upasuaji wa kubadilisha jinsia ya Tyson ulichukua takribani masaa 16, akibadilishwa sura, rangi na mambo mengine ya kumfanya avutie kama mwanamke
No comments:
Post a Comment