Mshindi wa droo kubwa ya "MAHELA", Valerian Nickodemus (kushoto)
akimsikiliza kwa umakini mwandishi wa habari wa ITV Emanuel Buhohela
mara baada ya kuwasili katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es
Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma mahususi kwa ajili ya makabidhiano rasmi
ya fedha zake Sh. Milioni 100 hivi karibuni. Kulia ni Meneja Uhusiano wa
Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu. |
No comments:
Post a Comment