BAADHI YA WANANANCHI WILAYANI NGARA WAMEIELEZA www.ngarakwetu.blogspot.com KUWA UNYWAJI WA AINA HIYO YA POBE UNAHATARISHA MAISHA YA WATUMIAJI KUTOKANA NA UCHOVU WA MWILI HALI INAYOWAPELEKEA KUSAHAU USAFI WA MWILI NA MAZINGIRA HALI INAYOWAVUTIA WADUDU AINA YA FUNZA. PICHANI HAPA
NI MIGUU YA MMOJA WA WANANCHI AMBAYE AMEATHIRIWA NA FUNZA.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNbVAI78c0WVkB46Md6Md7qG3fpG5etYx8y0F9D_4t3YiU_4bez022WWw8hMsHUNERmqlHaSZY9qO-q1yjE3gZaoz27mg6Lv07MtecSqaUw1u3WH8U8GPAE2Ut9XcV38PqeVDwtmCX5v0/s400/01.JPG) |
Miguu yenye funza |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiYUKqvfM3_qWwgCtmUO3uuTeye2zm1vGIu99MNAXlzZ9WVjJZtQtmDUPbbf-m9HrVAqUChDBo2Cc4swObM-9M8b5WZqtv-oKET0cOmGx0n1uQD7SuHOsCom5oU8gbdoSnHGmIhTkhkrTs/s400/02.JPG) |
Kinachoonekana kama unga kwenye vidole ni mayai ya funza |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEht58gGArEyrwPVqi25x8uqLB1yfniDVm0Dy5oRuLLJWIlZOwTYBm8RK6irSVzs8t8I6pePfuljp3LB5vSd-3W1EMm7qAh4Gvznryls-rP0wf6cUI5LdCbj7HHr3uRD2f-zYbodqgFarcM/s400/09.JPG) |
Add caption |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjREjQc0l0qpdyA47eFXuYoZg3DZ-r3-4OfSS_xpxBpnWRGE-6NtFkPBAFaiYO0Tbj9tOIwabyr9uG18yydWishvXuxVgowq2HMMha0dIoZZ6PP6UD3FvdGT4PNzd1F-5Sch05Q7ByWPy8/s400/10.JPG) |
Kiroba |
Imethibitishwa na baadhi ya watumiaji kuwa.ni vigumu kulala bila kupata walau kiroba kimoja. Na wakati mwingine inakuwa vigumu kuoga,na hata wakati mwingine kulala na Viatu. Viatu aina ya Yeboyebo imekuwa kimbilio kwa wananchi wenye kipato cha chini kwakuwa vinauzwa bei rahisi sana. Na kutokana na kuchemka kwake hasa wakati wa jua,imeelezwa kuwa vinachangia pia miguu kuathiriwa na Funza
No comments:
Post a Comment