|
Mwl. Erneus Cleophace akitoa zawadi kwa wanafunzi |
Mwalimu huyo, ametoa Zawadi binafsi ya kalamu na Daftari kwa wanafunzi 10 wa shule ya msingi Buhororo-Ngara waliofanya vizuri katika mitihani yao ya darasa la 6 kuingia darasa la 7 mwakani.
|
Wanafunzi wakiwa na baadhi ya wazazi. Kushoto ni mwalimu Erneus ambaye ametoa Zawadi |
|
Mwalimu mkuu msaidizi wa shule hiyo ,Superi Jeremiah na mwl mkuu Rutatinikwa Paskalwa na mwenyekiti wa kamati ya shule wakigawa zawadi |
NENO: Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.Wazazi jengeni tabia ya kufuatilia maendeleo ya wanafunzi,kuwakagua na kuwamotisha Kitaaluma. Hali hiyo itawapa moyo wa kuendelea kufanya Vizuri.
Na,Shaaban Nassib Ndyamuka-www.ngarakwetu.blogspot.com
NENO: Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.Wazazi jengeni tabia ya kufuatilia maendeleo ya wanafunzi,kuwakagua na kuwamotisha Kitaaluma. Hali hiyo itawapa moyo wa kuendelea kufanya Vizuri.
ReplyDeleteNa,Shaaban Nassib Ndyamuka-www.ngarakwetu.blogspot.com