|
Nyumba ya Tofali na kuezekwa kwa nyasi, inatajwa kuwa bora kuliko ya udongo |
Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanal Fabian Massawe amewataka wananchi wa wilaya za Ngara na Biharamulo kujenga nyumba kama hiyo.
|
hii ni moja ya nyumba duni wanazoishi wananchi |
|
Mkuu wa mkoa wa Kagera Fabian Massawe,nyuma pembeni ya askari ni Mkuu wa wilaya ya Biharamulo Lichard Mbeho |
|
Mkuu wa Mkoa wa Kagera,akijaribu kuingia katika moja ya nyumba duni wanazoishi wananchi. |
Kanal Fabian Massawe amewataka wananchi kujenga nyumba bora za kuishi. Angalau za tofali na ziezekwe kwa nyasi
No comments:
Post a Comment