Pata Elimu kuhusu Aina ya Mtoto unayetaka (Kike au kiume) au
Mapacha kupitia Seminar na Dr. Fadhili Emily.
Hakika Elimu ni muhimu sana. The Fadhaget Sanitarium Clinic
chini ya Dr. Fadhili Emily tunakukaribisha wewe unayehitaji mtoto kwa kadiri ya
mahitaji yako.
Je unahitaji Mapacha?
Unatafuta mtoto wa
jinsia fulani labda wa kike au wa kiume?
Je unapenda mwanao
afanane na nani? (afanane na baba au mama sana).
Karibu katika seminar kubwa itakayofanyika jijini Dar es
Salaam Tarehe 1 mwezi wa 9 mwaka huu. Katika Seminar hii Dr. Fadhili atatoa
mafunzo na elimu na kufundisha mengi kuhusiana na hayo.
Usikose seminar hiyo
kwani utaweza kujifunza mengi kuhusiana na watoto mapacha, jinsia ya mtoto
inavyopatikana na sayansi inasema nini kuhusiana na hayo. Kumbuka elimu hii ni
muhimu kwani kuna wengi wamekuwa wakijitahidi bila mafanikio, lakini kwa
kupitia tafiti salama ambazo zina viwango bora unaweza kufahamu mengi na kuweza
kufanikiwa kutimiza ndoto zako hasa za mtoto na uzazi wa mpango salama kabisa
Dr. Fadhili Emili akiwa na wanawe Mapacha |
Elimu kutoka kwa Dr Fadhili Emily imezalia matunda wengi ikiwemo yeye mwenyewe, na kama unavyoona kwenye picha akiwa na wanawe mapacha na wamefanana naye kabisa. Kupitia elimu yake nawe utaweza kuchagua mtoto na kupangilia uzazi vyema kwa jinsi unavyotaka wewe.
Kwa kutumia kanuni tisa ambazo zinafundishwa katika kutimiza yote hayo, utaweza kufahamu hatua mbalimbali za kufuata na taratibu zake. Kanuni hizo unaweza kuzigawanya katika vipengele vitatu.
- Kanuni tatu kabla ya Tendo la Ndoa,
- Kanuni tatu wakati wa Tendo la ndoa, na
- Kanuni tatu baada ya Tendo la Ndoa.
Hatua zote hizi zenye kanuni tisa zitaelekezwa vyema na kwa kutumia utafiti wa kisayansi wenye mafanikio asilimia mia moja utaweza kupangilia watoto kadiri ya mahitaji yako
No comments:
Post a Comment