|
Ndizi kutoka wilayani Ngara kwenda kahama Mkoani Shinyanga |
Ni moja ya malori yakipakia Ndizi mjini Ngara tayari kusafirishwa kwenda Kahama ambako ndiko Soko la ndizi linapatikana sana.Ni kawaida kwa malori yatokayo Nchini Burundi kupita Ngara na Kupakia ndizi kama Picha inavyoonesha.
picha na Shaaban Ndyamukama-ngarakwetublogspot.com
Jonas KizimaOct 26, 2012
ReplyDeleteNatumaini hii ni furaha kwa wananchi na wakazi woote wa Ngara, na wataitumia fursa hii ya soko la ndizi - Kahama na miji mingine kama njia ya kuongeza uzalishaji wa zao la ndizi kwa ajili ya chakula na kibiashara ili kuongeza kipato na chakula kulikabili tatizo la umaskini wa kipato. Kuongezeka kwa Ubora wa barabara na kupanuka kwa shughuli za kimji nayo ni chachu kwa sera ya KILIMO KWANZA, Jonas Kizima- Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro, Tanzania
Nashukuru sana Mdau Jonas Kizima kwa comment
Deleteyaah hi ni heshima kwa wakazi wa Ngara goood
ReplyDeleteyaah hi ni heshima kwa wakazi wa Ngara goood
ReplyDelete