Pichani anaonekana Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal,
akisikiliza maelezo kuhusu utengenezaji wa Vikapu kutoka kwa mwakilishi
wa Kikundi cha Women Craft, Edron Mwaku, wakati alipokuwa akitembelea
mabanda ya maonyesho kwenye maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi,
yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa 'International
School' Masaki Nov 17, 2012.
Ngara kwetu inatoa Pongezi kwa WOMEN CRAFT. watu kama akina mama Mpenzile na wengine wote.
kwa wale waiopafahamu, nakumbuka Ofisi zao zilikuwa Murgwanza. naamni bado wanaendelea na shughuli pale. Ni mfano wa kuigwa
No comments:
Post a Comment