Ni Ajali mbaya iliyosababishwa na magari mawili kugongana katika eneo la Benaco maarufu kama ziroziri wilayani Ngara baada ya Lori aina ya Fuso kugongana uso kwa uso na Basi dogo aina ya Toyota Hiace. Majeruhi wamelazwa katika Hospitali teule ya Murgwanza. Miili ya marehemu iko katika Hospitali ya wilaya ya Ngara-Nyamiaga.
Picha na mwana blog wetu Shaaban Nassib Ndyamukama. pichani hapa ni mabaki ya magari yote mawili baada ya ajali na mashuhuda wakifika eneo la tukio
No comments:
Post a Comment