May 23, 2017

Mkutano wa Mbunge na Madereva Mjini Ngara

Picha za mkutano wa mh.Mbunge wa jimbo la Ngara Alex  Gashaza akizungumza na umoja wa maadereva mjini Ngara, alisikiliza kero zao yakiwemo madai ya kunyanyaswa na askari wa Usalama barabarani
Picha na Issah Kazimoto


www.ngarakwetu.blogspot.com

No comments:

Post a Comment