Mbunge wa jimbo la Ngara Mh.Alex Gashaza amekabidhi gari la kubeba wagnjwa AMBUANCE ktika kituo cha afya Murusagamba
Ni matumaini yetu sisi www.ngarakwetu.blogspot.com kuwa Gari hilo litatumika kadiri ya makusudio ili kuwa msaada kwa wahitai. hongera kwa mafanikio.
Picha na Issah Kazimoto
No comments:
Post a Comment