Ardhi ya Ngara ina rutuba nzuri sana. Sijui niilinganishe na wapi tena hapa Tanzania. Ndiyo maana masuala ya msosi 'chakula' kwa ngara siyo issue. Kama inavyoonekana hapo sinia kubwa linatulizwa na wajeshi wawili tu pekeyao.
ooh waooh my home place nakumbuka sana kukaa kwenye mkeka nje no self service we enjoy food to gather father mother and children really i miss the place
Ardhi ya Ngara ina rutuba nzuri sana. Sijui niilinganishe na wapi tena hapa Tanzania. Ndiyo maana masuala ya msosi 'chakula' kwa ngara siyo issue. Kama inavyoonekana hapo sinia kubwa linatulizwa na wajeshi wawili tu pekeyao.
ReplyDeleteooh waooh my home place nakumbuka sana kukaa kwenye mkeka nje no self service we enjoy food to gather father mother and children really i miss the place
ReplyDeleteNimependa kakibuyu na tuvikombe, very good kudumisha mila. Mdau William
ReplyDelete