Baadhi ya vitu vilivyogawiwa kwa wagonjwa |
Mmoja wa watumishi wa TAKUKURU Kibondo akifungua Box za sabuni |
Maafisa wakiendelea kugawa Misaada |
Zoezi la ugawaji wa Misaada katika wodi |
Hapa ni katika wodi ya waazazi |
Kamnda akiwa na mmoja wawagonjwa aliyepewa msaada |
Mmoja wa makanda wa TAKUKURU bw. Nelson akifanya utamburisho |
Watoto wamepewa Juice |
Kaimu kamanda wa TAKUKURU Kibondo-Godwin Kahensa |
Mmoja wa makamanda akitoa msaada wa Sabuni kwa mgonjwa |
Ndani ya wodi |
wakati wa interview na Kamanda Kahensa |
Hapa ni ndani ya Ofisi ya Mganga Mfawidhi Hospotal ya wilaya Dr Florian Tinuga kulia akizungumza na Kaimu kamanda wa TAKUKURU Kibondo Dr Godwin Kahensa wakati wa siku ya Maadili |
Dr Florian Tinuga kulia na mgeni wake Dr Godwin Kahensa |
katika maadhimisho hayo,
Taasisi ya
kuzuia na Kupamba na Rushwa TAKUKURU Ofisi ya Kibondo Mkoani Kigoma imewataka
Watumishi wa Idara za Serikali na asasi za Binafsi kufanya kazi kwa kuzingatia
maadili na viapo vya kazi
Kaimu
kamanda wa taaisi hiyo Dk. Godwin Kahensa ameseama hayo wakati akizungumza na
uongozi wa Hospitali ya wilaya hiyo katika maadhimisho ya siku ya Haki za
binada na maadili iliyofanyika leo
Dk.Kahensa
amesema ikiwa watumishi watafanyakazi kwa kuzingatia maadili jamii itapata
huduma bora
Aidha,katika
maadhimisho ya siku hiyo ambayo duniani kote inaadhimishwa kila disemba 9 ya
kila mwaka,Dk.Kahesa amesema siku hiyo hapa Nchini inaadhimishwa Disemba 10
kwakuwa Disemba 9 ni siku ya Uhuru.
No comments:
Post a Comment