Wana Ngara ondoeni hofu
Na:Juventus Juvenary-Ngara
Hatimae hofu ya
Mlipuko kwa wakazi wa wilaya ya Ngara imeondoka! Ni kufuatia Wataalamu wa
miripuko kutoka Brigade ya Tabora TPDF wamebaini kuwa Kitu kilichodondoka
katika ardhi ya Kijiji cha Ruganzo kata ya Kibimba wilayani humo siyo bomu bali
ni Satelite.
No comments:
Post a Comment