April 15, 2017

HABARI NJEMA KWA WAKULIMA WA ZAO LA ALIZETI

Hii ni Fursa kwa wakazi wa mikoa ya Kanda ya ziwa hasa wilaya za Ngara,Karagwe,Biharamulo,Kakonko,Muleba,Chato na Geita. Wito umetolewa kwa wakulima wa zao hilo kuongeza kiwango cha Uzalishaji baada ya Kiwanda cha kukamulia mafuta ya zao hilo kuanza wilayani Karagwe. Kwa mawasiliano zaidi piga simu no. 0768852190


Hii ndiyo Mbegu bora kwaajili ya Mafutta iitwayo (REKODI)

Haya ni Mashudu yanayopatikana baada ya kukamuliwa na mashine. Yanatumika kwaajili ya kulisha Mifugo kama vile Kuku,Ng'ombe,Nguruwe nk...

Shamba la Alizeti
Hii ni fursa,Zao la Alizeti ni Mkombozi kwa Wakulima. Kama una Alizeti tafadhali piga Simu 0768852190

www.ngarakwetu.blogspot.com

1 comment:

  1. Naamini wakulima wetu watatumia fursa hii vyema ili kuinua hali ya kipato cha kaya na familia kwa ujumla

    ReplyDelete