Baadhi ya wakulima wageuza Bangi kuwa zao la Biashara-Ngara
Askari wa Jeshi la POlisi Wilayani Ngara akimdhibiti Mkulima mmoja wa Bangi katika Kijiji cha Burengo. Askari akiwa na chupa ya Petrol tayari kwaajili ya kuichoma Bangi
Bangi sio KILIMO KWANZA!
Picha na: William Mpanju-ngarakwetublogspot.com
No comments:
Post a Comment