Aliyesimama na Microphone mkononi ndiye Mkuu wa wilaya ya Ngara-Costantine Kanyasu |
Aliyesimama katikati mwenye mawani. Bw.Costantine Kanyasu. Mkuu wa wilaya ya Ngara-Kagera |
Kwa mafanikio haya. www.ngarakwetublogspot.com inakumbusha kuwepo kwa wahamiaji haramu(wahamaiaji kutoka nje ya Tanzania) hasa Nchi jirani ya Burundi ambao wanaishi katika maeneo mbali mbali ya wilaya ya Ngara.
Tunakuomba ili kuepusha madhara yatokanayo na watu hao,tafadhali elekeza nguvu katika suala hilo. Vijiji vingi vimejaa watu hao. Wapo baadhi ya viongozi wa kata,vijiji na Vitongoji wanashiriki kuwahifadhi wahamiaji. wanatumika katika shughuli zakilimo. "tukumbuke kuishi na wahamiaji kama hao ambao hawako kisheria wala taratibu ni sawa na kuishi na BOMU ambalo hujui litalipuka lini! na madhara yake yatakuwaje"
Tunaamini,Mkuu utalishughulikia hilo. Nasi tutatoa ushirikiano
No comments:
Post a Comment