Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini katika Vitabu wilayani Biharamulo |
Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuri akisaini katika kitabu wakati wa ziara ya Rais |
Mh. Rais(Kushoto ) akifuatiwa na Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanal Mstaafu Fabian Masawe,na baadhi ya mawaziri walioambatana naye katika ziara |
Wananchi pamoja na wadau |
Wananchi wa Biharamulo wakifuatilia hotuba ya Mh. Rais |
Kikundi cha Ngoma kikitumbuiza. Waziri wa ujenzi John Pombe Magufuri akionesha ustadi wake katika kupiga Ngoma |
Sehemu ya Barabara iliyozinduliwa na Rais. |
Biharamulo Round about |
Baadhi ya wataalam wa wilaya ya Biharamulo(kutoka kulia) mwenye koto la suti na kitamburisho ni Dk.Gresmus Ssebuyoya,Mganga mkuu wa Hospitali teule ya wilaya hiyo wakifuatilia Hotuba ya Mh. Rais |
No comments:
Post a Comment