Bondia Franscis Cheka akimrushia konde Phil Williams |
Bondia Francis Cheka wa Tanzania akimtupia konde Mmarekani, Phil Williamss katika pambano la Raundi 12 kuwania ubingwa wa dunia uzito wa Super Middle usiku huu ukumbi wa Diamond Jubilee kuwania taji la WBF. Cheka ameshinda kwa pointi
No comments:
Post a Comment