|
Baadhi ya Vijana waliojipanga kufanyiwa tohara katika kituo cha Afya Mabawe-Ngara |
|
Vijana wakisubiri tohara |
|
Katika Chumba maalumu cha Tohara |
|
Tohara ikiendelea |
Ni Kampeni inayoendelea wilayani Ngara ambapo Vijana wanafanyiwa tohara bure. Imeelezwa kitaalamu kuwa Mwanaume aliyefanyiwa tohara ni vigumu kupata magonjwa ya zinaa
No comments:
Post a Comment