Katika ziara hiyo akiwa ameambatana na Viongozi wa BAKWATA Sheikh Harouna Abdallah Kichwabutaameitaka jamii kujenga tabia ya kusomesha watoto
kwani urithi pekee kwa watoto ni Elimu
Sheikh Kichwabuta amesema,Jamii
haina budi kuwasomesha watoto wao ili kuwajengea mwelekeo mzuri wa ushindani
katika soko la ajira na mataifa jirani
Aidha
Sheikh Kichwabuata ambaye ameambbatana na viongozi mbali mbali wa BAKWATA
Mkoani Kagera amesisitiza suala la Ushirikiano kati ya waumini wa dini ya
Kiislamu na madhehebu mengine ili kuimarisha amani,mapendo na mshikamano wa
watanzania.
|
Hapa akikaribishwa Radio Kwizera |
|
wakipata maelezo kutoka kwa afisa uzalishaji wa vipindi Radio Kwizera Joyce Ngallawa |
|
Ndani ya studio za Radio Kwizera-Ngara |
|
Hapa akizungumza na mratibu wa vipindi vya dini Juventus Juvenary |
|
Joyce Ngallawa(Production Officer) akitoa maelezo namna Radio inavyofanya kazi |
No comments:
Post a Comment