August 10, 2013
WATOTO WATAKA MILA POTOFU ZIKOMESHWE
Watoto wa tarafa ya Murusagamba wilayani Ngara mkoani
Kagera wametoa ombi kwa Serikali Pamoja
na Mashirika yasiyo ya kiserikali kutoa elimu ya kutosha kwa jamii ili kuondoa
mila potofu ambazo zimekuwa zikileta madhara kwa watoto mbalimbali hapa nchini
pamoja na kusimamia sheria zinazowalinda. Hii ilikuwa mwendelezo wa siku ya Mtoto wa Afrika. Picha ni kwa hisani ya mwanawamakonda.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment