Mkuu wa kitengo cha usalama Barabarani,Mkaguzi wa Magari na Mtahini wa MaderevaJehi la Polis wilaya ya Biharamulo Gilbert Rutayuga |
washiriki wa mafunzo 1 |
washiriki wa mafunzo 2 |
WATEMBEA KWA MGUU BARABARANI,TEMBELEENI KULIA
Na, juventus Juvenary-BIHARAMULO
Jeshi
la polis kitengo cha usalama Barabarani wilayani Biharamulo Mkoani Kagera
kutembelea upoande wa kulia barabarani, pamoja na kuvuka barabara katika maeneo
maalum yaliyotengwa ili kuepuka ajali
Rai
hiyo imetolewa na Mkaguzi wa magari na mtahini wa madereva wa jeshi hilo
Bw.Gilbert Rutayiga wakati akitoa mafunzo kwa wasaidizi wa kesheria wilayani humo
Bw.
Rutayuga amesema watenbea kwamguu wawapo upande wa kulia Barabarani ni rahisi
kuona na kubaini mwendo wa gari au chombo chochote kinachopita barabarani
Aidha amewataka watembea kwa mguu wanapovuka
kuhakikisha wanazingatia sheria kwakugeuka kushoto na kulia kuhakikisha usalama
wao pamoja na kuepuka kuvuka barabara kwa haraka wala kutembea mwendo wa pole
sana.
na wakati huo huo
Watembea
kwamguu katika barabara,wametakiwa kuepuka matumizi ya vyombo vya muziki
masikioni(Headphones) wanapokuwa barabarani ili kuepuka ajali na kuwa makini
Hayo
yameelezwa na Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani katika jeshi la Polis
wilayani Biharamulo Bw.Gilbert Rutayuga wakati akitoa mafunzo kwa wasaidizi wa
kisheria kutoka kata za Biharamulo
Amesema
kama ilivyo marufuku kwa waendesha vyombo vya moto kutosikiliza muziki wakiwa
safarini au kupiga na kupokea simu,vivyo hivyo tahadhari hiyo inatakiwa
kuchukuliwa na watembea kwa mguu
No comments:
Post a Comment