DUDE
LILILODONDOKA KIJIJINI RUGANZO WILAYANI NGARA NA KUSABABISHA HOFU KUBWA
KWA RAIA. LIMESIKIKA USIKU WA MANANE SI KWENYE ENEO TU LA WILAYA YA
NGARA YENYE WAKAZI WAPATAO LAKI TATU, BALI KWA MJIBU WA MKUU WA WILAYA
YA NGARA BW CONSTANTINE KANYASU, AMEPIGIWA SIMU NA MAAFISA WA BURUNDI
WAKIMUULIZA JUU YA MIUNGURUMO ILIYOSIKIKA UPANDE WA TANZANIA. JWTZ
WAMESHAFIKA ENEO LA TUKIO NA WANAENDELEA NA UCHUNGUZI ZAIDI. BADO
HALIJARIPUKA. HUENDA WAKALITEGUA.-Julian Rubavu.
No comments:
Post a Comment