November 28, 2016

NAIBU WAZIRI-OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA ,ARIDHISHWA NA MAZINGIRA YA KIWANDA KAHAMA

Ni Naibu waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Luhaga Mpina amesifu Uongozi wa Kiwanda cha KAHAMA OIL MILL  ambao ni wazalishaji wa Bishaa mbali mbali zikiwemo
-Mabati,Mafuta,Mabomba ya plastic na Chuma aina zote.
Luhaga Mpina,akiwa na Mkurugenzi wa Kahama oil Mill Mhoja Nkwabi

Naibu waziri akipewa maelekezo ya Uzalishaji kiwandani kutoka kwa Mhoja Nkwabi



Kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya Kahama Fadhil Nkurlu,katikati yupo Anderson Msumba ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji-Kahama na kulia ni Mkurugenzi wa Kiwanda KOM Mhoja Nkwabi


Bidhaa za plastiki zinazozalishwa Kiwandani hapo.



Mabati yanayozalishwa Kiwandani hapo



Mabomba kiwandani

Mkurugenzi wa KOM, Mhoja Nkwabi
 
 
 
Uzalishaji wa mabati









Katika Ziara hiyo ambapo naibu waziri huyo aliambatana na maafisa wa Serikali wanaohusika na Mazingira akiwemo mratibu wa Baraza la Mazingira Taifa kanda ya Ziwa Bw.Jamal Barutti aliushauri uongozi wa Kiwanda cha Kahama Oil Mill kuajiri afisa mazingira atakayeratibu shughuli zote za Usafi na Uondoshaji wa taka kiwandani humo.

www.ngarakwetu.blogspot.com

No comments:

Post a Comment