Mkuu wa wilaya ya Biharamulo Bw.Lichard Mbeho akisoma Taarifa, pembeni yake kulia ni Katibu tawala wa wilaya hiyo |
Mkuu wa mkoa wa kagera Kanal Fabian Masawe akiwa na Mwenge |
Washereheshaji katika mbio za Mwenge wakicheza ngoma |
Mkuuwa mkoa wa kigoma kanal Mstaafu Issa Saleh Machibya katika eneo la kanyoni, Mpakani mwa Biharamulo na Kakonko. Baada ya kumaliza Mbio zake mwenge wa Uhuru mkoani kagera,ulikabidhiwa mkoani Kigoma |
Vijana wa JKT |
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanal Mstaafu Issa Machibya |
makabidhiano kati ya Mkuu wa mkoa wa Kagera na Kigoma |
makabidhiano kati ya Mkuu wa mkoa wa Kagera na Kigoma |
Mwanahabari wetu Shaaban Ndyamukama akiwa na viongozi wa Mwenge |
hapa tena Mwanahabari wetu Shaaban Ndyamukamakatika ya pamoja na na viongozi wa Mwenge |
Hapa ni makabidhiano ya Mwenge kutoka Mkoani Kagera Kwenda Kigoma |
No comments:
Post a Comment