Muda si mrefu ujao,www.ngarakwetublogspot.com itanzindua rasmi ofisi zake mjini Ngara. Pia tutaanza kutoa huduma mbali mbali kwa jamii ikiwa ni pamoja na kupiga picha za bei nafuu kwa matukio mbali mbali kama vile sherehe,harusi nk. Tutakuwa tukipiga picha za papo hapo |
|
No comments:
Post a Comment