Wenzetu, hata familia wanacheza |
Kushoto:- Sensei Onesmo wa Kibondo Shotokan Karate,wakati Mbunge wa jimbo la Muhambwe Bw.Felix Mkosamali mwenye track suit alipotutembelea DOJO |
Vijana wakifanya mazoezi ya viungo vya mwili,Kibondo DOJO |
Nikiwa Kazini, sitaki utani |
Siku nilipo valishwa Yellow belt baada ya Mtihani-Kibondo Shotokan Karate. mwenye Gi za kijani ni Sensei Mussa Mwela |
baada ya mtihani |
Sitaisahau siku hiyo. Asante sana sensei Mwela |
Kazi ni Kazi, Nikiwa na Kamanda Titto Maherere, ni mlinzi wa Kampuni ya Suppreme. Hapa tunabadilishana mawazo tu! |
Haka ndio ka PUNDA kangu,nashukuru Mungu. kananisadia sana ku move kutoka sehemu moja hadi nyingine. kaliwahi kupigwa gear kutoka kibondo hadi Ngara |
No comments:
Post a Comment