November 7, 2012

VITUKO BAAD YA UCHAGUZI WA MAREKANI Mwanamke azaa mapacha na kuwaita Barack Obama na Mitt Romney

Bi.Millicent Owuor akiwa na watoto wake Mapacha


Mwanamke mmoja Nchini Kenya mwenye miaka 20 Millicent Owuor jana amejifungua watoto mapacha na kuwapa majina Barack Obama na Mitt Romney
Watoto hao walizaliwa katika hospitali ya Siaya kusini magharibi mwa Kenya.
Owuor aliwaambia waandishi wa habari kuwa aliamua kuwapa majina hayo wanae ili kuikumbuka siku ya uchaguzi huo wa Marekani.

No comments:

Post a Comment