November 3, 2016

UGAWAJI WA VITABU,SHULE YA MSINGI BUHORORO

Shirika la jambo Bukoba linalojihusisha na Michezo kwa wanafunzi wa shule za msingi mkoani Kagera limegawa vitabu vya taaluma kwa wanafunzi wa shule ya msingi Buhororo wilayani Ngara chini ya mratibu wa shirika hilo Steven Gonzaga na Afisa Michezo Wlayani Ngara Said Salum


Afisa Michezo wilayani ngara Said Salum akiwa na wanafunzi s/m Buhororo.
Picha:-Kwa Hisani ya Shaaban Nassib Ndyamukama.

www.ngarakwetu.blogspot.com

No comments:

Post a Comment