Camera ya ngarakwetu leo imetua katika Shule ya kata Sekondari ya Kibimba
Sehemu ya wanafunzi wakiwa mapumziko
Baadhi ya wazazi na walezi wanaosoma Kibimba Sekondari
MNEC wa Ngara Issa Samma akizungumza na wazazi pamoja na wanafunzi. Katikati aliyevaa shati la Kitenge na Notebook mkononi ni Diwani wa Kata ya Kibimba kwa sasa na Mwenyekiti wa Halmashauri Bw. John Shimlmana
No comments:
Post a Comment