BIHARAMULO YAINGIA FINAL SASA KUKUTANA NA MTUKULA
 |
Hawa ndio waamuzi wa mchezo |
 |
Kikosi cha Biharamulo |
 |
Kashai FC na Biharamulo katika Mchezo |
 |
Ilikuwa ni patashika katika lango la Biharamulo hali iliyoleta wasiwasi kwa mashabiki |
 |
Mabadiliko kwa timu ya Biharamulo |
Katika Mchezo huo, Kipindi cha dakika 90 kilimalizika bila timu hizo kufungana hali iliyopelekea kuongezwa kwa dakika 30 ambazo pia hazikuzaa matunda baada ya timu hizo kutofanikiwa kufungana, ndipo kikaingia kipindi cha matuta(Penalti) iliyoipaisha timu ya Biharamulo kuingia Fainal kwa penati 5-4. Fainali ni tarehe 22/03/2013
No comments:
Post a Comment