Mganga mkuu wa Hospitali teule ya wilaya ya Biharamulo Mkoani
Kagera amekabidhi Kilo 250 za Mchele kwa kituo cha kulelea watoto yatima
MALAIKA kilichopo Rulenge wilayani Ngara kwaajili ya chakula cha watoto
wanaolelewa kituoni hapo
Akikabidhi msaada huo,Dr. Gresmus Ssebuyoya amesema msaada
huo umetokana na ahadi yake mwenyewe na uongozi wa hospitali teule ya
Biharamulo huku akiwataka wanajamii wengine kujitolea kuwasaidia
Amesema,Uongozi wa Hospitali umetoa kilo 150,huku yeye
binafsi akitoa Kilo 100 kwaajili ya kupunguza changamoto za chakula
zinazokikabili kituo hicho
 |
Dr.Gresmus Ssebuyoya akizungumza akizungumza na Juventus Juvenary wa ngarakwetu.blogspot.com |
 |
Dr.Gresmus Ssebuyoya |
 |
Dr.Gresmus Ssebuyoya akiwa na Sr. Mektilda Felecian na watoto wanaolelewa katika Kituo hicho |
 |
Magunia ya Mchele |
No comments:
Post a Comment