Katika Picha,Ni Juventus Juvenary (Kushoto ) na mtangazaji wa Radio Kasibate ya Bukoba baada ya Worksop jijini Mwanza |
Juventus Juvenary,Sr. Ifigenia Bahat &Marck Nicolaus Ngaiza |
|
Juventus akiwasilisha ripoti |
katika uwasilishaji wa ripoti ya tathimini ya mwaka mzima |
Mmoja wa waratibu wa Mradi wa WASH kutoka SNV Consolatha Temu |
Marck Ngaiza(Kasibante akifuatilia ripoti kwa umakini) |
Zamu ya radio Sengerema kuwasilisha Ripoti |
Marck Ngaiza wakati wa Chai |
Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu tumenza kufanya/kuendesha
Vipindi vya Maji kwa ufadhili KGMP kwa ufuatiliaji
au usimamizi wa SNV kupitia Mpango wa WASH
Kupitia Radio Kwizera, mimi Juventus Juvenary kama mwanzaaji
wa Program hiyo naweza kusema kuwa “Ni Vipindi vingi kupitia ratiba yetu ya
matangazo hasa, Mada za asubuhi,Sauti ya Jamii,Taarifa za habari na Yaliyojili ambapo
wananchi wamepata habari na kujifunza mengi kuhusu matumizi ya maji safi na
salama. Lakini Pia wamehamasika au kujengewa uwezo kuhusu utunzaji wa Vyanzo
Vya maji.
Katika picha hapo juu, ilikuwa ni katika Mkutano maalumu wa
Tathimini juu ya mafanikio na changamoto tulizokutana nazo kwa kipindi cha
mwaka mmoja
No comments:
Post a Comment