October 29, 2012

UKIPANDA MAGUGU,UTAVUNA MAGUGU!

mkulima wa zao la Bangi wilayani Ngara akiwa na bangi baada ya kuamuliwa na Polisi kuing'oa

hapa akidhibitiwa na polis

naamini hapa anamawazo mengi sana,pengine anawaza kwanini aliamua kufanya kilimo cha Bangi

Askari akiingia shambani,katika msako wa Bangi

No comments:

Post a Comment