Hii ni Picha nanasi
iliyopigwa na mdau mkuu wa www.ngarakwetublogspot.com
Bw.Boniphace Shuuli katika eneo la Murugarama- Ngara, zikiwa tayari
kusafirishwa kwenye masoko mbalimbali hapa Tanzania.
Ngara bado
tuna fursa kutumia kilimo katika kujikwamua kimaisha.
No comments:
Post a Comment