December 9, 2012

HIVI NDIVYO MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU ILIVYOKUWA WILAYANI KIBONDO-KIGOMA

DC Mwamoto na Mtoto mlemavu

Mmoja wa watoto walemavu waliopewa msaada

Emanuel Gwegenyeza ambaye ni Mwenyekiti CCM akigawa Msaada

Mlemavu wa Ngozi

Afisa maendeleo ya jamii Bi. Beatrice gwamagobe akigawa sabuni

Katibu wa CCM Eliah Kisali akicheza na walengwa

DC Mwamoto akitangaza jambo

Mkuu wa wilaya Venance Mwamoto akishughulika

Meza kuu. kutoka kushoto ni DC Kibondo Venance Mwamoto,katikati ni Katibu wa walemavu Kigoma Damas Jeremia na Kulia ni DED Kibondo Bw. Leopord Chundu Ulaya

Viti vyenye magurudumu kama hicho viligawiwa

Kulia mwenye Microphone ni DC Kibondo Bw. Venance Mwamoto. anayesukuma wheel Chair ni Mwenyekiti CCM Bw. Emmanuel J.Gwegenyeza

Katika Picha  kutoka Kushoto ni katibu tawala wa wilaya DAS Kibondo-Julius Samwel

Katibu wa CCM wilayani Kibondo Bw.Kisali Eliah akigawa Misaada katika shughuli hiyo

Katibu wa wlemavu Kigoma Bw.Damas Jeremia akigawa Misaada

Katibu wa wlemavu Kigoma Bw.Damas Jeremia akigawa Misaada

Meza ya Misaada

Vijana wa Kundi la Sanaa wise boys wakihusika katika ugawaji wa Zawadi/Misaada

Mwenye suti ni Bw. Evaristo Ngalama. Mwenyekiti wa Chma cha walemavu CHAWATA wilayani Kibondo

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM wilayani humo Bw. Emanuel Jeremiah Gwegenyeza akisukuma Kiti cha magurudumu alichopewa Mtoto huyo mlemavu

DC-Venance mwamoto akisherehesha shughuli hiyo

Katibu wa walemavu mkoa wa Kigoma Bw.Damas Jeremia akigawa msaada

Viti vyenye magurudumu(wheel Chairs kwaajili ya walemavu)

Aliyevaa koti la suti katikati ni Afisa tarafa Kibondo,katika meza yenye Bidhaa zilizogawiwa kwa walemavu

Kutoka kushoto,katikati ni Mkuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto  akicheza Music  katika hafla fupi ya walemavu
Walemavu wanahitaji kuthaminiwa. jamii isiwafiche majumbani. waelimishwe na kushirikishwa katika shughuli mbali mbali za Maendeleo.

No comments:

Post a Comment