October 10, 2013

Baiskeli ni Usafiri,huendeshwa barabarani. Kuna haja ya mpanda Baiskeli kuvaa kofia ngumu(HELMET?)

Kuni, maji, mboga, wanyama - Waafrika wanatumia baiskeli kusafirisha vitu vingi. kulingana na hali ngumu ya maisha kwa watu wengui wa Afrika, si rahisi kwao kumiliki magarihivyo,hutumia ubunifu kidogo tu, baiskeli inaweza kutumiwa kusafirishia kila aina ya mzigo
Mjasiriamali akisafirisha kuku kwa Baiskeli

Mjasiriamali akisafirisha mkaa kwa Baiskeli


Gereji ya Baiskeli. Hapa ni katika kijiwe cha mafundi Baiskeli zinapotengenezwa


Baiskeli husafirisha hata bidhaa za dukani

Picha kutoka Maktaba ya www.ngarakwetu.blogspot.com.






















                                                          




No comments:

Post a Comment