Ligi soka kuwania Kombe la Mbunge wa jimbo la Biharamulo
Magharibi imemalizika kwa Timu ya Bandari FC kuibuka washindi kwakuifunga goli moja timu ya ….., katika
mchezo uliofanyika oktoba 6 mwaka huu siku ya jumapili katika uwanja wa mpira
Biharamulo mjini.
Hivyo ndivyo, mambo yalivyokuwa . Baada ya shamra
shamra,Mgeni rasmi ambaye ndiye mdhamini wa ligi hiyo Dr Anthony gervase Mbassa
akazungumza na wachezaji,kamati ya maandalizi na mashabiki wa soka
Awali katika ufunguzi wa Ligi hiyo mapema mwezi jana
Mwenyekiti wa Chama cha Soka Biharamulo Mw. Daudaalimuomba Mbunge huyo
kuendelea kufadhili michezo wilayani humo ikiwa ni pamoja na kufanikisha uwanja
wa Biharamulo unakuwa na mgori mazuri. Dr Mbassa katika hotuba yake
akazungumzia suala hilo
Katika sherehe
Zawadi
Mshnd 1. Laki 5 na seti ya jezz
na mpira 1. 2- laki 3 na mpira, 3 –laki
2 na mpira, kipa bora kutoka ruziba50
elfu, mchezaji bora-bizibo- 50 elfu,mfungaji bora timu ya h/w 50 elfu. Timu
yenye nidhamu ilikuwa home boyz walipata elfu 50
Mbunge wa Biharamulo Magharibi Dr Anthony Gervase Mbassa akisalimiana na wachezaji kabla ya mechi kuanza |
Dr Mbassa akisalimiana na Kamati ya maandalizi ya ligi hiyo,kushoto kwake mwenye trak suit ya kijani ni Bw. Yusuph Khatry mjumbe wa NEC-Biharamulo
No comments:
Post a Comment