waziri mkuu wa zamani edward Lowasa akisalimiana na mkuu wa wilaya ya Biharamulo Bi.Dally Ibrahim Rwegasira katika uwanja wa ndege Katoke wilayani Biharamulo |
Lowasa akiteremka kwenye ndege katika uwanja wa katoke |
Lowasa akiongozwa na Padre Sixmund Nyabenda wa jimbo katoliki la Rulenge-Ngara katika maadhimisho ya jubilei ya miaka 50 ya seminari Katoke |
Kuelekea jukwaani |
Aliyenyoosha mkono ni Dkt.Gresmus Ssebuyoya ,aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya jubilei ya miaka 50 ya Seminari ya Katoke |
No comments:
Post a Comment