Ni wakati wa kada wa CHADEMA Dkt.Peter Bujari aliporejesha fomu ya kuwania ubunge wa jimbo la Ngara kupitia chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika Uchaguzi Mkuu ujao
Zoezi hilo lilitanguliwa na mkutano wa hadhara katika uwanja wa Posta ya zamani Mjini Ngara.
|
Gari lililombeba Dkt.Bujari likiingia uwanjani |
|
Dkt.Bujari akisimama kusalimia wananchi waliofurika uwanjani |
|
sehemu ya waliohudhuria mkutano,wananchi wakiingia uwanjani |
|
Wasafirishaji wa abiria kwakutumia Pikipki maarufu kama Bodaboda wakisherehesha mkutano huo kwa kupiga misele uwanjani.(wenyewe wanaiita kuchora) |
No comments:
Post a Comment