March 21, 2016

ZANZIBAR.......Shein atangazwa mshindi wa urais Zanzibar

 Matokeo kamili kama yalivyotangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), yanaonesha licha ya Chama cha Wananchi (CUF) kususia, mgombea wake Maalim Seif Sharif Hamad alipata kura 6,076 kwenye uchaguzi wa marudio uliofanyika Jumapili.
Hamad Rashid Mohamed wa chama cha ADC ndiye wa pili akiwa na kura 9,734.



No comments:

Post a Comment